Tuesday, April 26, 2016
Sunday, April 24, 2016
Taarifa ya kifo cha Papa Wemba
Mwanamuziki nyota mwenye ushawishi mkubwa Kongo Papa Wemba amefariki dunia baada ya kuanguka jukwaani Abidjan nchini Ivory Coast.
Itazame hapa video show aliyokuwa akiifanya
Itazame hapa video show aliyokuwa akiifanya
Saturday, April 23, 2016
LAY JAY DEE - NDI NDI NDI ( OFFICIAL VIDEO)
Iongeze na hii katika list ya video mpya za muziki April hii. Lady Jay Dee - Ndi Ndi Ndi
MAFIKIZO LO X DIAMOND - COLOURS OF AFRICA | OFFICIAL VIDEO
Ni collabo nyingine ya Diamond Platnumz kufanya South Africa. Baada ya kuisubiri kwa mda mrefu htimaye video ya Mafikizolo, Diamond & Dj Maphorisa - Colours of Africa imeruhusiwa kukufikia
Thursday, April 21, 2016
Friday, April 15, 2016
Sunday, March 13, 2016
List ya wakuu wa mikoa walioteuliwa na Rais John P. Magufuli. 13 wapya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameteua wakuu wa mikoa 26 ya Tanzania Bara. 13 ni wapya, 7 wamebakizwa katika vituo vyao vya kazi, 5 wamehamishwa vituo vya kazi na 1 amepangiwa Mkoa Mpya wa Songwe.
Uteuzi huo umetangazwa na Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Mussa Ibrahim Iyombe leo tarehe 13 March, 2016 Ikulu Jijini Dar es salaam, wakuu wa Mikoa walioteuliwa ni kama ifuatavyo
Monday, February 15, 2016
List Ya Washindi Wa Tuzo Za Grammy 2016
Tuzo za kubwa za muziki za Grammy ikiwa ni msimu wa 58 zimetolewa nchini Marekani, Ll Cool J ni Host wa tuzo za mwaka huu uliofanyika 'Staples Center' Los Angeles.
Hii ndio list ya washindi wote wa tuzo za Grammy2016
Hii ndio list ya washindi wote wa tuzo za Grammy2016
Friday, February 12, 2016
AKA & DIAMOND PLATNUMZ - MAKE ME SING (OFFICIAL VIDEO)
Collabo iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na wapenzi wa muziki hasa mashabiki wa Diamond Platnumz na A.K.A kutoka Afrika Kusini imeachiwa rasmi leo. Pata nafasi ya kuitazama hapa
Subscribe to:
Posts (Atom)