WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezitaka Halmashauri za wilaya nchini ziangalie uwezekano wa kuwapatia watumishi wake nyumba za bei nafuu kwa malipo kidogo kidogo.
Wednesday, May 31, 2017
IGP SIRO ATANGAZA DAU LA MILIONI 10 RUFIJI
Dar es Salaam. Mkuu mpya wa jeshi la polisi, IGP Simon Sirro amefanya mkutano wake wa kwanza na waandishi wa habari leo, na kutangaza dau nono
Tuesday, May 30, 2017
Saturday, May 13, 2017
CHELSEA BINGWA LIGI KUU UINGEREZA
Chelsea sasa wameshinda mataji matano ndani ya miaka 13 iliyopita, rekodi inayofikiwa na Manchester United pekee
Friday, May 12, 2017
MISIMU 10 BORA YA CHRISTIANO RONALDO
Cristiano Ronaldo amekuwa na misimu mizuri sana tangu akiwa Sporting ya nchini Ureno na hadi sasa akiwa Real Madrid, leo tunakuletea misimu 10 bora ya Mreno huyo toka aanze kucheza soka la kulipwa.
NI MANCHESTER UNITED DHIJI YA AJAX ARMSTADAM FINALI YA EUROPA TAREHE 24 UWANJA WA FRIENDS ARENA
Manchester United wameshashinda kombe la Champions League, klabu bingwa dunia, FA na makombe mengine lakini hawajawahi kishinda kombe la Europa.
Thursday, May 11, 2017
NI REAL MADRID NA JUVENTUS KUCHEZA FAINALI LIGI YA MABINGWA BARANI ULAYA
Atletico Madrid walionekana tishio kwa Real Madrid na walionekana kama wanaenda kubadili matokeo ya mwanzo ya mchezo wao baada ya mabao mawili ya haraka haraka.
Wednesday, May 10, 2017
Tuesday, May 9, 2017
RAISI ATOA MAGARI MATATU YA KUBEBEA WAGONJWA KWA WABUNGE WATATU
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi ndio amekabidhi magari hayo ya Wagonjwa kwa niaba ya Rais Ikulu Jijini Dar es Salaam
ZANZIBAR YAFUNGA SKULI, MAFURIKO NDIO SABABU
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kupitia Wizara ya Elimu imeagiza kufungwa skuli zote za serikali na binafsi isipokuwa kwa Form 6 ambao
KUTANA NA KIJANA ALIYEZUA GUMZO BAADA YA WATU KUMFANANISHA NA LIONEL MESSI
Mwanafunzi wa Iran Reza Parastesh ameingia kwenye headlines hivi karibuni akiwa katika mitaa ya Iran na watu wengi wakimfananisha na mshambuliaji wa kimataifa wa Argentina anayeichezea FC Barcelona ya Hispania Lionel Messi.
Monday, May 8, 2017
ALICHOONGEA JOSE MOURINHO BAADA YA KUFUNGWA NA ARSENAL
Jose Mourinho anaamini wachezaji wake walicheza vizuri licha ya kutopata ushindi, amedai pamoja na ushindi wao Arsenal hawakuwa bora zaidi ya United
MBWANA ALLY SAMATTA KATIKA UBORA WAKE
Mbwana Samatta aliifungia timu yake ya Genk goli moja na kuisaidia kuibuka na ushindi wa magoli 2-1 dhidi ya AS Eupen
ALICHOONGEA WAZIRI UMMY MWALIMU KUHUSU AJALI ILIYOUA WANAFUNZI 32
Wakati
Tanzania ikiomboleza vifo vya watu 32 wakiwemo wanafunzi 29 waliopata ajali ya gari mkoani Arusha May 6, 2017 Wizara ya Afya, ustawi wa jamii, jinsia, wazee na watoto kupitia Waziri wake Ummy Mwalimu imetoa salamu za rambirambi.
Sunday, May 7, 2017
ARSENAL YAZIMA REKODI YA MANCHESTER UNITED KUTOFUNGWA MECHI 25 MFULULIZO
Rekodi ya Machester united kutopoteza mechi 25 imekatizwa leo baada ya kucharazwa bao mbili kwa bila katika dimba la Emirate.
KUELEKEA MCHEZO WA SIMBA VS AFRICAN LYON
Kocha wa Simba, Joseph Omog Leo Jumapili atakuwa na kazi moja ya kuhakikisha wanaifunga African Lyon
Saturday, May 6, 2017
HABARI:AJALI ILIYOUA WATU 32 KARATU ARUSHA.WANAFUNZI,WALIMU NA DEREVA.
Leo
Leo May 6, 2017 kulianza kusambaa taarifa za ajali na picha zikionesha Basi dogo lililobeba Wanafunzi limepata ajali
Friday, May 5, 2017
RATIBA:LIGI KUU TANZANIA BARA WIKIENDI HII.
Ligi Kuu Bara inarudi tena wikendi hii baada ya mapumziko ya takribani wiki moja kupisha michuano ya kombe la Shirikisho
GRANIT XHAKA NJE ARSENAL VS MANCHESTER UNITED
Katika mkutano na waandishi, Wenger alibainisha kuwa Lucas Perez hatacheza kwenye kikosi chake kadhalika Xhaka hatacheza dhidi ya Man United
Thursday, May 4, 2017
WAZIRI MKUU: ROTARY ISAIDIE KUPAMBANA NA MALARIA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameutaka uongozi wa Klabu ya Rotary nchini uangalie uwezekano wa kuisaidia Serikali kupambana na ugonjwa wa Malaria.
Walichokisema Mourinho na Berizzo kuhusu mechi yao ya leo
Kocha wa Celta Vigo, Eduardo Berizzo amesema wanaamini wanaweza kupata matokeo kama ilivyo ndoto yao katika
Wednesday, May 3, 2017
Subscribe to:
Posts (Atom)