PSYs "Gangnam Style" Imekuwa video ya kwanza kuvunja rekodi ya
historia ya internet kwa kutazamwa na watu wengi zaidi bilioni moja
duniani. Gangman style inatazamwa na watu milioni 6.5 kwa siku na watu
zaidi ya 76 kwa sekunde

Itazame hapa
PSY - GANGNAM STYLE (강남스타일) M/V
0 Comments:
Post a Comment