
Mastar wawili kutoka nchini Marekani, Chris Brown na mpenzi wake Rihanna
wameripotiwa kupanga kufunga ndo ifikapo July mwaka huu.
Jarida moja maarufu sana la nchini Marekani liitwalo ''Star Magazine''
limeripoti kuwa mastaa hao wana tarajia kufunga ndoa ifikapo July mwaka
huu katika visiwa...