MENEJA wa
Wafanyakazi wa Ndani ya Ndege wa Kampuni ya Fastjet Emma Donovan,
alifikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala Dar es Salaam kujibu
shtaka linalomkabili la kutoa lugha ya matusi.
Friday, March 29, 2013
Thursday, March 28, 2013
Monday, March 25, 2013
Picha za Show Kubwa ya Epiq Ndani ya Mtwara

Vijana wa Epiq Stars mwishoni mwa wiki hii wameweka historia mkoani Mtwara kwa kutoa burudani kubwa ambayo itadumu kipindi kirefu vichwani mwa wana Mtwara.
Friday, March 22, 2013
Wednesday, March 13, 2013
Sasa ni Papa Francis I !
Sasa ni Papa Francis I !

Papa Francis ahutubu mara ya kwanza
Kadinali Jorge Mario Bergoglio wa Argentina amechaguliwa kuwa Papa mpya wa Kanisa Katoliki.
Kadinali Bergoglio anakuwa mtu wa kwanza kutoka Amerika kusini kuchaguliwa kuwa Papa.Mara tu baada ya kuchaguliwa alichagua jina la Papa Francis I.
Tuesday, March 12, 2013
Monday, March 11, 2013
Thursday, March 7, 2013
Saturday, March 2, 2013
Friday, March 1, 2013
Subscribe to:
Posts (Atom)