Tuzo za kubwa za muziki za Grammy ikiwa ni msimu wa 58 zimetolewa nchini Marekani, Ll Cool J ni Host wa tuzo za mwaka huu uliofanyika 'Staples Center' Los Angeles.
Hii ndio list ya washindi wote wa tuzo za Grammy20...
Collabo iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na wapenzi wa muziki hasa mashabiki wa Diamond Platnumz na A.K.A kutoka Afrika Kusini imeachiwa rasmi leo. Pata nafasi ya kuitazama hapa
...