Sunday, March 13, 2016

List ya wakuu wa mikoa walioteuliwa na Rais John P. Magufuli. 13 wapya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameteua wakuu wa mikoa 26 ya Tanzania Bara. 13 ni wapya, 7 wamebakizwa katika vituo vyao vya kazi, 5 wamehamishwa vituo vya kazi na 1 amepangiwa Mkoa Mpya wa Songwe. Uteuzi huo umetangazwa na Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Mussa...