Saturday, October 7, 2017

MABADILIKO YA BARAZA LA MAWAZIRI

Dar es Salaam. Rais John Magufuli ametangaza baraza jipya la mawaziri lililoongezeka kutoka wizara 19 hadi 21. Wizara hizo zimeongezeka kutokana na wizara mbili kugawanywa huku nafasi za manaibu wapya zikiwa tano. Akitangaza leo Jumamosi baraza hili jipya, Rais Magufuli amesema Wizara ya...