Saturday, May 11, 2013

Thursday, May 2, 2013

HATIMAYE GADNA AFUNGUKA JUHUSU BIFU LA JIDE NA CLOUDS

 
AKIONGEA NA  MTANGAZAJI DAN CHIBO MTANGAZAJI WA TBC FM,NA HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA

Leo nilipata nafasi ya kuzingumza na Gadan G Habash ambaye ni Meneja na Mume wa Mwanamuziki maarufu nchin Lady Jay Dee, sote tunafahamu juu ya maneno aliyoyasema Lady Jay Dee kama ni Wosia wake.
Kupitia kipindi cha The Takeover kinachorushwa na kituo cha TBC fm haya ndio yalikuwa majibu ya maswali niliyomuuliza Gada G; 
Ipi ni Kauli yako juu ya Wosia wa Lady Jay Dee...?