Saturday, May 11, 2013

Mawazo Ya FID Q Kuhusu Track Mpya Ya NIKKI MBISHI ... "NEY WA MITEGO" ...


Rapper mkali kutoka MWANZA, FID Q ameonekana kuutazama wimbo mpya wa NIKKI MBISHI kama moja ya vitu vinavyoweza kupekea BEEF kubwa kati ya msanii huyo na NEY WA MITEGO ..
.


FID Q aliyasema hayo kupitia ukurasa wake wa twitter baada ya kuulizwa swali kwenye program yake ya mara kwa mara mtandaoni humo ya #ASKFidQ kuhusiana na wimbo huo ...


Swali lilikuwa hivi: Nini mawazo yako juu ya nikki mbishi na his new track (ney wa mitego) ??

@FidQ akajibu, "Nisingependa kuona beef kati yao ..."

FID is one of the illest Hip-Hop emcees in TANZANIA na hilo halina ubishi, ni lipi ameliona katika mdundo huu wa HIP-HOP wa NIKKI MBISHI ?? BEEF kali kuibuka ??


0 Comments:

Post a Comment