Iggy Azalea alithibitisha kusample kwa wimbo wake 'Fancy" na Jidenna kupitia kurasa yake ya twitter. Wimbo “Classic Man”
uliotengezwa na producer Dj Mustard na kuongeza kwamba asilimia flani ya pesa zinazotokana na
mauzo ya wimbo huo analipwa yeye.Hii hapa video ya 'Classic Man' ya Jidenna...