Iggy Azalea ametoa maelezo kadhaa kuhusu albamu yake ya pili katika mfululizo wa tweets kwa mashabiki wake Jumamosi, Agosti 8.
Iggy alitoa update kuhusu ulbum ijayo akiwa studio kuthibitisha kwamba yuko tayari amefanya rekodi sita za nyimbo mpya:
Alijibu maswali mbalimbali kuhusu muziki mpya ambayo mashabiki waliuliza kwa hamu kama inavyoonekana katika tweets.
Kwa ufupi: Iggy ameplan kudrop single mpya 2016 kutoka kwenye album hiyo ambayo itakua na track chini ya 12 (Track 10).
0 Comments:
Post a Comment