
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameteua wakuu wa mikoa 26 ya Tanzania Bara. 13 ni wapya, 7 wamebakizwa katika vituo vyao vya kazi, 5 wamehamishwa vituo vya kazi na 1 amepangiwa Mkoa Mpya wa Songwe.
Uteuzi huo umetangazwa na Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Mussa...