Mwanamuziki nyota mwenye ushawishi mkubwa Kongo Papa Wemba amefariki dunia baada ya kuanguka jukwaani Abidjan nchini Ivory Coast.
Itazame hapa video show aliyokuwa akiifanya
Video ya tamasha inaonyesha msanii huyo ambaye alikuwa na umri wa miaka 66 akianguka jukwaani huku dancers wake wakiendelea kucheza bila kujua nini kimetokea
Sunday, April 24, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Comments:
Post a Comment