Sunday, March 12, 2017

POST YA DRAKE INAYOTHIBITISHA TAREHE YA KUTOKA 'MORE LIFE' PLAYLIST

Baada ya muda mrefu wa 'Sintofahamu' za mashabiki wa Drake kuhusu tarehe ya kutoka kwa More Life playlist Project, hatimaye tarehe rasmi ya kutoka kwa Project imewekwa wazi.


Usiku wa Ijumaa machi 10, akiwa kwenye concert Hamburg Ujerumani Drake aliwaambia mashabiki kuwa alikuwa kwenye harakati za kumalizia hiyo Project

 Wakati wa tamasha Ijumaa usiku (Machi 10) katika Hamburg, Ujerumani, Toronto rapa aliwaambia watu alikuwa katika hatihati ya kumaliza mradi.

 "Najua imenichukua muda, lakini nakwenda hotelini usiku wa leo kumaliza hii More Life hivyo naweza kuitoa kwenu haraka iwezekanavyo,"

A post shared by champagnepapi (@champagnepapi) on

0 Comments:

Post a Comment