Saturday, December 6, 2014

Beyonce atajwa mara 5 Grammy

Beyonce ametoa shukrani zake kwa waratibu wa tuzo za Grammy na mashabiki wake kwa kuendelea kuthibitisha ubora alionao kwenye
muziki wake. Beyonce ametajwa katika vipengele vitano katika tuzo hizo.

Ni mara ya 57 sasa kwa tuzo hizo kufanyika na mara hii itafanyika February 8 2015 huko Stemples Center Los Angels

Wasanii wengine wanaowania tuzo hizo katika category tofauti tofauti ni kama Nicki Minaj, Iggy, Taylor Swift, Wizzy Khalifa, Criss Brown, Pharell Willam na wengine wengi.

Tembelea Official site www.grammy.com/niminees kuona nominees

0 Comments:

Post a Comment