Ngoma ya Quick Racka 'Ubishoo' featuring Young Dee imetonolewa kwenye moja ya mistari ya Chidi Benzi
"nafuta vumbi kila baada ya saa, ukisema mi bishoo mi bishoo haswaa". Jamaa akaamua kudevelope idea hiyo na kutengeneza hit song kali ya 'Bishoo'
Sikiliza hapa
Tuesday, December 2, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Comments:
Post a Comment