Rapa Ice Prince ameripoti kuanzisha Studio hivi karibuni. Kwa mujibu wa ripoti ya rapa huyo wa Chocolate City amesema Studio itaitwa Super Cool Cats.
Lakini si kitu cha kushangaza sana kwani Ice Prince aligusia kuwa ana kitu katika kazi hiyo ya muziki. Mwaka jana aliiambia MTV UK kuwa kuna Super Cool Music outfit mpya
Pia alieleza kuwa ana wasanii wachache ambao ataanza nao kuwatambulisha duniani kote, aliwataja wasanii aliopanga kuanza kuanza nao ni Msichana aitwae Ruth na Stunt. "Hawa wote ni Super Cool Music. Na kuna producers wengi katika outfit pia".
Thursday, March 12, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Comments:
Post a Comment