Saturday, March 7, 2015

Saraha afunguka juu ya mahusiano na Fundi Samweli

Star wa muziki Sarah amefunguka kuhusu mahusiano yake na mpenzi wake wa zamani mwandishi na mtayarishaji wa muziki Fundi Samwel na kusema kuwa
mapenzi sio swala rahisi ingawa hakuna sababu ya msingi ya kutengana kwao

"Mpenzi wangu ni muziki kwa hiyo naweza kuendelea na muziki na nikafurah" alisema Sarah akifanya mahojiano na e-news na kuongeza kuwa kila mtu aliona ni wakati muhimu kuchukua njia yake

0 Comments:

Post a Comment