
Tweet ya star wa Nigeria Davido inathibitisha kuwa amefanya collabo na star wa RnB Trey Songz.
Davido anakamilisha video ya collabo na makali mwingine wa Marekeni Meek Mill. Album ya mpya ya Davido itakuwa na orodha ya wasanii wakubwa kama Akon, Wale, P Square na Flavour
0 Comments:
Post a Comment