" Maneno hayawezi kutosha kulaani mauaji ya kigaidi yaliyotokea katika Garissa Chuo Kikuu. "
Rais wa Marekani Barrack Obama ameshtushwa na tukio lilopoteza maisha ya wanafunzi 148 wengine wengi kujeruhiwa. Katika taarifa rasmi iliyotolewa kupitia Ubalozi wa Marekani Nairobi, anasema kuwa licha ya kutokea mauaji, anaamini kuwa Kenya ina ujasiri wa kushangaza na kwamba nchi haitasimamishwa kuelekea maisha bora ya baadaye.
Saturday, April 4, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Comments:
Post a Comment