Saturday, April 4, 2015

K-LYN: SWEET DREAMS ARE MADE OF THIS

Hivi karibuni Billionea Reginald Mengi alifunga ndoa na aliyekuwa Miss Tanzania 2000 Jacqueline Ntuyabaliwe, katika visiwa
vya Mauritius ikiwa ni miezi minne tangu Dr. Mengi amchumbie Mrembo huyo.

Imeonekana kwamba ilikuwa ni kama ndoto kwa K-Lynn, mama wa watoto wawili ambaye aliandika kwenye ukurasa wake wa twitter "Sweet dreams are made of this"



0 Comments:

Post a Comment