Wednesday, April 1, 2015

WIZ, AMBER KUSTOPISHA UGOMVI

Kulingana na mtandao wa TMZ nyota hao wawili wameamua kuwa marafiki zaidi baada ya miezi kadhaa ya tofauti zao.


Tovuti hiyo iliripoti kuwa Amber alibadili moyo wake baada ya kusikiliza wimbo mpya  wa Wiz Khalifa "See You Again" uliotumika kama soundtrack kwenye 'Furious 7'

"How could we not talk about family when family's all that we got? Everything I went through you were standing there by my side. And now you gonna be with me for the last ride.”

0 Comments:

Post a Comment