Winga mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars aliyekuwa anaichezea Dar es Salaam Young Africans Simon Msuva ametangazwa kujiunga na club ya Difaa El Jadida ya Morocco.
Simon Msuva Ametambulishwa Rasmi Club ya Difaa El Jadida ya Morocco