Friday, July 28, 2017

Harbinder Seth na Rugemarila Wamefikishwa Mahakamani Tena Leo

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetoa ruhusa kwa mmiliki wa Kampuni ya kufua umeme ya IPTL, Harbinder  Singh Sethi kupewa
matibabu kutokana na matatizo ya kiafya yanayomkabili.
Hayo yameelezwa na Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shaidi baada ya Seth kudai anahitaji kuwa na nguvu ambayo haitopatikana kama Afya yake itakuwa dhaifu, hivyo ameomba apatiwe matibabu.
Mahakama imetoa kibali ili mshtakiwa huyo apate matibabu kwa kuwa afya ni muhimu kwa binadamu na keshi imeahirishwa hadi August 3, 2017 itakapotajwa tena.

0 Comments:

Post a Comment