Wateja wa mafuta wakisubiri foleni ya mafuta Mkoani Njombe, Nishati Hiyo Imekuwa kitendendawili kwa siku za hivi karibu...
Sunday, October 28, 2012
Saturday, October 13, 2012
MRADI WA KILIMO WAZINDULIWA WILAYANI WANGING'OMBE
Mradi wa mwelekeo wa maendeleo ya kilimo katika shirika la
maendeleo ya kilimo mkoa wa Njombe la NADO
unaoitwa NADO IN FOCUS leo umezinduliwa rasmi Wilayani Wanging'ombe.
Akizindua mradi huo kwa niaba ya mkuu wa Mkoa wa Njombe
Afisa Biashara wa mkoa wa Njombe bwana George Lupembe amepongeza jitihada kubwa
zinazofanywa na shirika la NADO Katika kuwakomboa wakulima kwa kujiinusuru na
kipato...
Friday, October 12, 2012
WAFANYABIASHARA WALAZIMIKA KUAHIRISHA KIKAO NA MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA WILAYA
Baadhi ya Wafanyabiashara Mjini Njombe Wakiwa Nje ya Ofisi ya Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Njombe
Wafanyabiashara Mijini Njombe Wamelazimika Kuahirisha Kikao Kilichopangwa Kufanyika Saa 3 Asubuhi Hii Leo na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Njombe Bwa. Valency Kabelege Baada...
Thursday, October 11, 2012
HALI YA UPATIKANAJI WA MAFUTA YAREJEA KAWAIDA MJINI NJOMBE
Hali ya Upatikanaji wa Mafuta Katika Mji wa Njombe Imerejea Katika Hali ya Kawaida Baada ya Siku Kadhaa Zilizopita Kutopatikana kwa Nishati Hiyo Muhimu Hasa Mafuta Aina ya Dizeli.
Akiongea na Mwandishi wa Blog Hii, Meneja wa Kituo cha Kuuza Mafuta cha Ndime, Clement Mwauling'ombe Mtewele amesema...
Subscribe to:
Posts (Atom)