Tuesday, April 30, 2013

Saturday, April 27, 2013

Thursday, April 25, 2013

Mwasiti Azungumzia Siku ya Malaria, Awaasa Watanzania Kujikinga: SIKILIZA

Balozi wa Malaria Tanzania na Msanii wa Bongo Flavour Tanzania Amezungumza na Watanzania na Kuwaasa Kujikinga na Ugonjwa Huo na Kuwataka Kutumia Chandarua Kwa Matumizi Sahihi . Mwasiti Ameyasema Hayo Akiongea na Dkt Joh Katika Kipindi cha Extra Flavour Kinachorushwa na Uplands FM Radio Mkoani Njombe Msikilize...

Sunday, April 21, 2013

Wednesday, April 17, 2013

Tuesday, April 16, 2013

Charlz Baba: Tuzo za Kili Hazina Manufaa Kwetu, Zipo kwa Ajili ya Bongo Flavour

Charlz Baba amesema kuwa tuzo hizo hazina manufaa kwao kwa wanamuziki wa dansi kwa kuwa pesa inayopatikana ni ndogo hivyo inakuwa ngumu kugawana kwa wasanii waliopo kwenye band. Akipiga Story na Lilz D kwenye kipindi cha Afro Ngoma kinachorushwa kila siku ya Jumapili Charlz Baba aliongeza kuwa hawawezi...

Sunday, April 14, 2013

Friday, April 5, 2013