Tuesday, April 16, 2013

Charlz Baba: Tuzo za Kili Hazina Manufaa Kwetu, Zipo kwa Ajili ya Bongo Flavour

Charlz Baba amesema kuwa tuzo hizo hazina manufaa kwao kwa wanamuziki wa dansi kwa kuwa pesa inayopatikana ni ndogo hivyo inakuwa ngumu kugawana kwa wasanii waliopo kwenye band. Akipiga Story na Lilz D kwenye kipindi cha Afro Ngoma kinachorushwa kila siku ya Jumapili Charlz Baba aliongeza kuwa hawawezi kufanya tour ya Kili kwa kuhofia kulipwa hela ndogo Sikiliza Hapa

0 Comments:

Post a Comment