Alichokisema Jaykah Kwa Mashabiki Wake Kuhushu Ngoma Yake,
"Ngoma nliyokuwa nimefanya na dogo ally haitokuwepo tena wala kuirelease
kwa sababu zisizoweza kuepukika. So mafans wakae mkao wa kula. Zipo
ntakazo ziachia baada mwenzi wa tano.. Makamuzi kwa sanaa" Sikiliza Hapa
0 Comments:
Post a Comment