Mwasiti Azungumzia Siku ya Malaria, Awaasa Watanzania Kujikinga: SIKILIZA 4:33 AM BONGOMAGAZINI No comments Balozi wa Malaria Tanzania na Msanii wa Bongo Flavour Tanzania Amezungumza na Watanzania na Kuwaasa Kujikinga na Ugonjwa Huo na Kuwataka Kutumia Chandarua Kwa Matumizi Sahihi . Mwasiti Ameyasema Hayo Akiongea na Dkt Joh Katika Kipindi cha Extra Flavour Kinachorushwa na Uplands FM Radio Mkoani Njombe Msikilize Hapa Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
0 Comments:
Post a Comment