Wednesday, October 29, 2014
WASANII WA KIKE WANAVYOKIMBIZA CHART ZA BILLBOARD MAREKANI
Nafasi 5 za juu katika chart za Billboard Top 100 za nchini Marekani inashikiliwa na wasanii wa kike ambao wanaonekana kufanya poa sana.
Katika chat hizo nafasi inaonekana kama hivi:
Katika chat hizo nafasi inaonekana kama hivi:
All About That Bass
Meghan Trainor
Meghan Trainor
Tuesday, October 28, 2014
OTEA NI NANI BIRDMAN KAMRUDISHA CASH MONEY.....!!!!
Juvenile amerudisha kipaji chake Cash Money, baada ya kurejea mahali alipopaita Numbani. Rapa huyu alisaini kwa mara ya kwanza Cash Money mwaka 1997 alipotoa
TAYLOR SWIFT KUUZA NAKALA MIL 1 WIKI YA KWANZA
Inatabiriwa kuwa sasa anaweza kuuza nakala angalau milioni moja katika wiki yake ya kwanza ambayo itafanya albamu ya 'Bi Dada' huyo aliyezaliwa
CHID BENZI KUFIKISHA MAHAKAMANI LEO
Rapper Chidi Benz anatarajiwa kufikishwa mahakamani siku ya leo kujibu mashitaka kutokana na kesi ya kukamatwa na Dawa za Kulevya, tukio lililotokea Ijumaa wiki iliyopita.
Subscribe to:
Posts (Atom)