Nafasi 5 za juu katika chart za Billboard Top 100 za nchini Marekani inashikiliwa na wasanii wa kike ambao wanaonekana kufanya poa sana.
Katika chat hizo nafasi inaonekana kama hivi:
All About That Bass
Meghan Trainor
Shake It Off
Taylor Swift
Bang Bang
Jessie J, Ariana Grande & Nicki Minaj
Iggy Azalea Featuring Rita Ora
Habits (Stay High)
Tove Lo
0 Comments:
Post a Comment