Inatabiriwa kuwa sasa anaweza kuuza nakala angalau milioni moja katika wiki yake ya kwanza ambayo itafanya albamu ya 'Bi Dada' huyo aliyezaliwa
1989 kuwa ya 19 kuuza nakala milioni tangu ile ya Nielsen - SoundScan ya mwaka 1991.
Itakuwa ni albamu ya kwanza kwa mwaka huu 2014 kuuza nakala milioni moja
Albamu hiyo mpya ya Taylor "Swift's fifth Studio Efforts" iliyotolewa kupitia Big Machine Records Octoba 27, ambayo inatabiriwa kufikia mauzo hayo wiki inayoishia Novemba 2.
Albamu zingine za Taylor Swft ambazo zilikua na mauzo mazuri ni ile ya "Speak Now" ya mwaka 2010 iliyouza nakala 1,050,000 na Red 2012 nakala 1,210,000
Albamu mpya ni tano studio juhudi Swift wa, iliyotolewa kupitia Big Machine Records Oktoba 27. mauzo yake ya utabiri ni kwa ajili ya kufuatilia wiki kuishia Novemba 2 Ni inaweza alama ya Swift ya tatu milioni-kuuza kwanza katika mstari, kufuatia 2010 ya Ongea Sasa (1,050,000) na 2012 Red (1,210,000).
Matokeo ya mauzo ya albamu yanatarajiwa kutangazwa Novemba 5, Jumatano ambapo Taylor anatazamiwa kushika nafasi za juu za chat ya Billboard top 200 siku hiyo hiyo
Tuesday, October 28, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Comments:
Post a Comment