Juvenile amerudisha kipaji chake Cash Money, baada ya kurejea mahali alipopaita Numbani. Rapa huyu alisaini kwa mara ya kwanza Cash Money mwaka 1997 alipotoa
albamu yake ya pili ya "Solja Rags"
Historia yake akiwa Cash Money ilikua tata kidogo hivyo aliamua kijing'atua kwenye label baada ya kutoa Juve The Great. Baadae alisaini mkataba na Atlantic mwaka 2005.
Albam ya mwisho ya Juve, The Fundamentals iliachiwa kupitia Rap-A-Lot Records, lakini sasa Juve ameiambia MTV News kwamba amerudi tena kwa Birdman na hafikirii kuondoka tena. "Siendi kokote, nimepanga kustaafia hapahapa" aliiambia MTV NEWS akifafanua juu ya mkataba wake huo mpya na Cash Money uliosainiwa siku chache zilizopita.
Birdman pia alizungumzia juu ya kurudi kwa Juve, alisema "Nafikiri ni wakati muafaka kuwa nae ndani ya Studio, nafikiri ana rekodi nzuri
. We got him with young London [On Da Track], who probably one of the best producers in the game right now. I know with the platform I have, he can be bigger than he was before."
Tuesday, October 28, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Comments:
Post a Comment