CHECK MY NEW RIDE: WEMA SEPETU NA GARI MPYA, ITAZAME HAPA
Picha za Gari mpya ya Wema Sepetu aina ya Audi Q7 yenye rangi nyeusi zimeonekana kwenye akaunti ya Wema ya Instagram alipokuwa beach hivi karibuni na kuiandikia caption, ‘my baby at da beach.’
Pia akaunti ya Martin Kadinda kuna picha ya gari hiyo aliyoiandikia maneno, ‘#maisha sio manhattan…..You can creat your own Manhattan in Tz… Hata kama ni Ya muda mfupi… #Kiphating.’
0 Comments:
Post a Comment