
Hili ndiyo jumba la kifahari analoishi Msanii
Peter wa kundi la P-Square ambapo jumba hilo lipo katika mji wa
San Francisco, Marekani. Pamoja ya kuwa jumba la kifahari kama hilo pia yeye na kaka yake
Paul wana jumba jingine ambalo walilijenga nchini
Nigeria na kulipa jina la
Squareville.
Check Nyumba Hii Ya Peter:
0 Comments:
Post a Comment