Justin Bieber Kutengeneza Historia Mara ya Pili Mfululizo
Kama Justin Bieber anaamini kuwa atafika namaba 1 kwenye "Acoustic" Billboard 200, itakuwa ni alama ya mafanikio ya historia ya pili kwa mwimbaji na mtunzi huyo
Kwanza, yeye atakuwa msanii pekee katika historia kuwa na Albamu tano kwenye No 1 kabla ya kugeuka 19. Hivi sasa, yeye na Miley Cyrus wamefungana kwenye chati nne "toppers" wakiwa na umri mdogo.
Pili Bieber anaweza kuwa kati ya 10 bora kushika namba 1 ya albamu bora kwa miaka minne mfululizo
Mwaka 2010, alikuwa kwenye list za juu na My World hali kadhalika mwaka uliofuatia wa 2011 akiwa na Never Say Never Chini ya Mistletoe. Mwaka jana alishika nafasi ya kwanza na "Believe"
Jay-Z ana streak ndefu zaidi ya miaka 7 mfululizo kushika No katika Albamu kati ya 1998 na 2004,
Bieber amepata neema ya ku-cover kwenye jarida la Billboard wiki hii kufuatia bonge la interview aliyofanya kuhusu albamu yake mpya ambapo mashabiki wake watapata kusoma story hiyo kupitia Billboard.com Jumatatu na kusikiliza rekodi hizo kwa mara ya kwanza.
0 Comments:
Post a Comment