 |
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mwenyeji wake Rais Francois Hollande
wa Ufaransa katika Ikulu ya nchi hiyo maarufu kama Champs L’Elyesee
(hutamkwa chanz elezee) jijini Paris leo Januari 21, 2013
|
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride rasmi aliloandaliwa kwa heshima
yake mjini Paris Ufaransa leo Januari 21, 2013 ikiashiria kuanza rasmi
kwa ziara yake ya kiserikali ya siku tano nchini humo.
PICHA NA IKULU
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride rasmi aliloandaliwa kwa heshima
yake mjini Paris Ufaransa leo Januari 21, 2013 ikiashiria kuanza rasmi
kwa ziara yake ya kiserikali ya siku tano nchini hum.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake akiwa katika maongezi rasmi na
mwenyeji wake Rais Francois Hollande wa Ufaransa na ujumbe wake katika
Ikulu ya nchi hiyo maarufu kama Champs L’Elyesee (hutamkwa chanz elezee)
jijini Paris leo Januari 21, 2013
RAIS KIKWETE AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO NCHINI UFARANSA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea Watanzania wanaoishi Ufaransa
katika ukumbi wa Hotel le Maurice jijini Paris usiku wa kuamkia leo
Januari 21, 2013.


Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia Watanzania wanaoishi Ufaransa katika
ukumbi wa Hotel le Maurice jijini Paris usiku wa kuamkia leo Januari 21,
2013.

Watanzania
wanaoishi Ufaransa wakimsikiliza Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika
ukumbi wa Hotel le Maurice jijini Paris usiku wa kuamkia leo Januari 21,
2013.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe Bernard Membe
akihutubia Watanzania wanaoishi Ufaransa katika ukumbi wa Hotel le
Maurice jijini Paris usiku wa kuamkia leo Januari 21, 2013.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Zanzibar, Said Ali
Mbarouk akihutubia Watanzania wanaoishi Ufaransa katika ukumbi wa Hotel
le Maurice jijini Paris usiku wa kuamkia leo Januari 21, 2013.
Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Profesa Sospeter Muhongo akihutubia
Watanzania wanaoishi Ufaransa katika ukumbi wa Hotel le Maurice jijini
Paris usiku wa kuamkia leo Januari 21, 2013.
Waziri wa Ujenzi, Dkt John Pombe Magufuli akihutubia Watanzania
wanaoishi Ufaransa katika ukumbi wa Hotel le Maurice jijini Paris usiku
wa kuamkia leo.
(PICHA NA NA IKULU)
0 Comments:
Post a Comment