Saturday, May 11, 2013

Thursday, May 2, 2013

HATIMAYE GADNA AFUNGUKA JUHUSU BIFU LA JIDE NA CLOUDS

 
AKIONGEA NA  MTANGAZAJI DAN CHIBO MTANGAZAJI WA TBC FM,NA HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA

Leo nilipata nafasi ya kuzingumza na Gadan G Habash ambaye ni Meneja na Mume wa Mwanamuziki maarufu nchin Lady Jay Dee, sote tunafahamu juu ya maneno aliyoyasema Lady Jay Dee kama ni Wosia wake.
Kupitia kipindi cha The Takeover kinachorushwa na kituo cha TBC fm haya ndio yalikuwa majibu ya maswali niliyomuuliza Gada G; 
Ipi ni Kauli yako juu ya Wosia wa Lady Jay Dee...?

Tuesday, April 30, 2013

Thursday, April 25, 2013

Mwasiti Azungumzia Siku ya Malaria, Awaasa Watanzania Kujikinga: SIKILIZA

. Mwasiti Ameyasema Hayo Akiongea na Dkt Joh Katika Kipindi cha Extra Flavour Kinachorushwa na Uplands FM Radio Mkoani Njombe

Msikilize Hapa

Sunday, April 21, 2013

Wednesday, April 17, 2013

Tuesday, April 16, 2013

Charlz Baba: Tuzo za Kili Hazina Manufaa Kwetu, Zipo kwa Ajili ya Bongo Flavour

Charlz Baba amesema kuwa tuzo hizo hazina manufaa kwao kwa wanamuziki wa dansi kwa kuwa pesa inayopatikana ni ndogo hivyo inakuwa ngumu kugawana kwa wasanii waliopo kwenye band. Akipiga Story na Lilz D kwenye kipindi cha Afro Ngoma kinachorushwa kila siku ya Jumapili Charlz Baba aliongeza kuwa hawawezi kufanya tour ya Kili kwa kuhofia kulipwa hela ndogo Sikiliza Hapa

Sunday, April 14, 2013

Friday, April 5, 2013

New Track Jaykah Ft Double K - Hisia za Moyoni


                           Alichokisema Jaykah Kwa Mashabiki Wake Kuhushu Ngoma Yake,
 

"Ngoma nliyokuwa nimefanya na dogo ally haitokuwepo tena wala kuirelease kwa sababu zisizoweza kuepukika. So mafans wakae mkao wa kula. Zipo ntakazo ziachia baada mwenzi wa tano.. Makamuzi kwa sanaa" Sikiliza Hapa

Friday, March 29, 2013

Thursday, March 28, 2013

Monday, March 25, 2013

Friday, March 22, 2013

Wednesday, March 13, 2013

Sasa ni Papa Francis I !


Sasa ni Papa Francis I !

Papa Francis ahutubu mara ya kwanza
Kadinali Jorge Mario Bergoglio wa Argentina amechaguliwa kuwa Papa mpya wa Kanisa Katoliki.
Kadinali Bergoglio anakuwa mtu wa kwanza kutoka Amerika kusini kuchaguliwa kuwa Papa.
Mara tu baada ya kuchaguliwa alichagua jina la Papa Francis I.

Tuesday, March 12, 2013

Monday, March 11, 2013

Thursday, March 7, 2013

Saturday, March 2, 2013

Friday, March 1, 2013

Thursday, February 28, 2013

Chris Brown na Rihhana Kufunga Ndoa July Mwaka Huu



  Mastar wawili kutoka nchini Marekani, Chris Brown na mpenzi wake Rihanna wameripotiwa kupanga kufunga ndo ifikapo July mwaka huu.

Jarida moja maarufu sana la nchini Marekani liitwalo ''Star Magazine'' limeripoti kuwa mastaa hao wana tarajia kufunga ndoa ifikapo July mwaka huu katika visiwa vya Barbados.

 Kwa mara ya kwanza wawili hao wamepanga kufunga ndoa hiyo ambayo itakuwa ya kitofauti ikiwa na watu wa karibu ambao wanaamini Chris Breezy amebadilika kweli na upendo wa dhati kwa Rihanna hasa baada ya tukio alilolifanya mwaka 2009.

 Mwaka 2009, Chris Brown alimpiga mwanadada Rihanna na ku-make headlines kubwa sana iliyopelekea watu wengi kumchukia ikiwemo kushtakiwa kutokana na kitendo hicho.

Wednesday, February 27, 2013

Friday, February 22, 2013

Monday, February 18, 2013

Monday, February 4, 2013

Saturday, January 26, 2013

Thursday, January 24, 2013

Tuesday, January 22, 2013

CHECK MY NEW RIDE: WEMA SEPETU NA GARI MPYA, ITAZAME HAPA




Picha za Gari mpya ya Wema Sepetu aina ya Audi Q7 yenye rangi nyeusi zimeonekana kwenye akaunti ya Wema ya Instagram alipokuwa beach hivi karibuni na kuiandikia caption, ‘my baby at da beach.’

Pia akaunti ya Martin Kadinda  kuna picha ya gari hiyo aliyoiandikia maneno, ‘#maisha sio manhattan…..You can creat your own Manhattan in Tz… Hata kama ni Ya muda mfupi… #Kiphating.’

Monday, January 21, 2013

MVUA YALETA KIZAAZAA MTWARA MSAADA WAHITAJIKA



 Hali ni mbaya bwawa linaendelea kujaa maji
hadi mchana huu Mali na mifugo haikusalimika na bado waathirika
walikuwa wanahangaika kujinusuru

Ni balaa kubwa la mafuriko ya maji hapa Mtwara hii leo maeneo ya
Majengo kule eneo la Chuno. Eneo hili ni karibu na nyumba ya Mzee
Hokororo au Dr Mwakipa. 

.

Hakuna taarifa yeyote ya aliyepoteza
maisha. Msaada wa haraka unahitajika kwa wananchi hawa.wa maeneo hay

Maafa stendi ya ubungo Zaidi ya magari 20 yavunjwa.



ubungo1 6ac3f
ubungo2 cc0a5
SEHEMU ya ukuta wa kituo cha mabasi ya kwenda mikoani cha Ubungo, jijini Dar es Salaam, leo alfajiri umeanguka na kuyaharibu vibaya magari zaidi ya ishirini yaliyokuwa yameegeshwa nje ya eneo hilo. Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Charles Kenyela alisema kuwa idadi ya magari yaliyopatwa na ajali hiyo yanakadiriwa kufikia 24 ambapo watu watatu wanasemekana wamejeruhiwa.