Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya Ben pol Amesema Baraza la Kiswahili Linaweza kupata methali ambazo zinaendana na wakati na mazingira ya sasakutoka katika Mistari ya Fid Q na Mwana FA
Singa huyo wa Samboira alitupia kauli hiyo kupitia ukurasa wa Twitter, Kauli hiyo inaonyesha Kuwakubali Marapa hao wanaofanya vizuri katika game ya muziki wa Bongo.
Na hii ndiyo tweet alitupia Ben Pol Kwenye akaunti yake ya Twitter
Ben Pol
Kama Baraza la Kiswahili wakisikiliza vizuri lyrics za @FidQ &@MwanaFA watapata Methali zinazoendana na wakati na mazingira ya sasa
0 Comments:
Post a Comment