Msanii wa Kizazi Kipya Rehema Chalamila 'Ray C' Akiwa ameambatana na Mama yake Mzazi Magreth Mtweve na Dada yake Sara Mtweve wamemshukuru Rais Kikwete kwa msaada wa Matibabu na
Kumueleza Kuwa afya ya Mwanae imeimarika na Muda c mrefu
ataendelea kupanda jukwaani.
Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya, Rehema Chalamila 'RAY C' akimshukuru Rais Kikwete kwa msaada wa matibabu aliompatia ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Monday, December 10, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Comments:
Post a Comment