Sunday, December 16, 2012

Bruno Mars - Locked Out of Heaven namba moja katika chati za Muziki za Billboard Marekani.

 Watu walio comment kwenye mtandao wa billboard wameonesha kufurahishwa kwao na Singer huyo kuwa katika nafasi za Juu ,

Rihanna Amefanikiwa kushika nafasi ya
pili katika chati hizo zilizolewa leo na wimbo wa "Diamonds'  ambao  unafanya vizuri katika chati za muziki duniani hivi sasa.


Na hii ni Top Ten ya Billboard
1. Bruno Mars - Locked Out of Heaven
2. Rihanna - Diamonds
3.Ke$ha - Die Young
4. Ho Hey - Lumineers
5. Maroon 5 - One More Night
6Flo Rida - I Cry
7. Phillip Phillips - Home
8. Fun - Some Nights
9. Justin Bieber ft Nicki Minaj - Beaty And A Beat
10. Ne-Yo - Let Me Love You(Until You Learn to Love Yourself)

0 Comments:

Post a Comment