GAGA APOSTI PICHA AKIWA NA SIMBA SOUTH AFRICA
Lady Gaga amepata shavu la kutalii vivutio vya Afrika baada ya kudondoka Afrika Kusini alikokuwa kwa ajili ya tour yake na kutembelea mbuga za wanyama
Lady Gaga alionesha furaha yake ya kukutana uso kwa uso na kupiga picha na wanyama wakali simba na kupost picha hizo kwenye ukurasa wake wa twitter akiwa amevalia nguo zenye rangi yanayoendana na mzingira ya hapo nyuma yake wakionekana simba kadhaa wakiwa wamejiachia kwenye nyasi kama
Gaga aliposti picha zake zikiwa na yanayosema SAFARI PICTURE: na yanayoeleza umbali wa futi 10 kutoka pale walipo simba13 na watoto 2.
‘The bad Romance singer’alipost picha kupitia twitter inayoonyesha akiwa kavaa mavazi ambayo yanaendana kabisa na nature ya pale alipo na vile hakuna binadamu maeneo yale. "Nilispend nao takribani dakika 30 na kupiga picha!”
“hii niliichukuwa kama futi 5 hivi kutoka kwa simba jike, isn’t she beautiful!”
“simba walijiskia poa hata wakaamka at one point na wakatufanya kuwasogelea zaidi.”
0 Comments:
Post a Comment