PSYs "Gangnam Style" Video iliyovunja rekodi ya internet ya dunia 7:59 AM BONGOMAGAZINI No comments PSYs "Gangnam Style" Imekuwa video ya kwanza kuvunja rekodi ya historia ya internet kwa kutazamwa na watu wengi zaidi bilioni moja duniani. Gangman style inatazamwa na watu milioni 6.5 kwa siku na watu zaidi ya 76 kwa sekunde Itazame hapa PSY - GANGNAM STYLE (강남스타일) M/V Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
0 Comments:
Post a Comment