Sunday, May 7, 2017

ALICHOFANYA UHURU KENYATTA KUFUATIA AJALI MBAYA ILIYOUA WATU 32 KARATU ARUSHA.


Ni habari kubwa na ya kusikitisha, msiba uliotokea Tanzania wa watu 32
wakiwemo Wanafunzi 29 kwenye ajali ya Basi dogo la Wanafunzi Karatu Arusha umemuhuzunisha kila aliefikiwa na taarifa hizi akiwemo Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya

Raisi Uhuru Kenyatta zilimfikia habari na akiwa kwenye mkutano na wake wa kisiasa wananchi wa kenya alitoa dakika kadhaa kuwaombea watu wote waliofariki katika ajali hiyo na kutoa salami za pole kufuatia ajali hiyo.

0 Comments:

Post a Comment