Ligi Kuu Bara inarudi tena wikendi hii baada ya mapumziko ya takribani wiki moja kupisha michuano ya kombe la Shirikisho
Ili kujuhakikishia nafasi msimu ujao, timu za, Toto, JKT Ruvu, Majimaji, Mbao, Ndanda, African Lyon, zinahitaji ushindi was a in a yeyote ile ili kujiweka katika nafasi salama.
Pia kwa klabu za Simba na Yanga, zinahitaji kushinda katika michezo yao kwani kupoteza alama kwa mmoja wao kutatoa nafasi kwa mwingine kunyakua taji msimu huu.
Ratiba ni kama ifuatavyo;
Yanga vs Tanzania prisons
Toto vs JKT Ruvu
Ruvu Shooting vs Kagera
Azam vs Mbao
Simba vs Africa Lyon
0 Comments:
Post a Comment