Walichokisema Mourinho na Berizzo kuhusu mechi yao ya leo
Kocha wa Celta Vigo, Eduardo Berizzo amesema wanaamini wanaweza kupata matokeo kama ilivyo ndoto yao katika
mchezo wao wa nusu fainali ya kwanza dhidi ya Manchester United.
Amesem kuwa ili kutimiza ndito yao lazima awe na motisha na juhudi kubwa. "Manchester United ni moja ya timu kubwa na njia pekee ya kuwafunga ni kubaki katika mchezo wetu na kucheza kwa moyo, huu ni mchezo ambao kila shabiki wa Celta Virgjo anataka kuuonao".
Kwa upande wa Jose Mourinho, kocha wa Manchester United anasema hafikirii sana mafanikio kwani ndio mashindano pekee ambayo haijawahi kushinda kama klabu.
"Sisi ni klabu ambayo tumeshinda kila ushindani katika ulimwengu wa soka. Pamoja na majeruhi wengi, itakua ni mfanikio mazuri kwetu kama timu, na itatuwezesha kurudi kwe ligi ya mabingwa msimu ujao.
0 Comments:
Post a Comment