HABARI:AJALI ILIYOUA WATU 32 KARATU ARUSHA.WANAFUNZI,WALIMU NA DEREVA.
Leo
Leo May 6, 2017 kulianza kusambaa taarifa za ajali na picha zikionesha Basi dogo lililobeba Wanafunzi limepata ajali
kwenye eneo la Mlima Rhotia, Karatu Arusha ambapo haikuwa imejulikana idadi kamili ya waliopoteza maisha.
The SAMETYPE zimempata Kamanda wa Polisi Arusha Charles Mkumbo ambaye amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kusema idadi ya waliofariki ni 32 akiwemo Dereva kwenye kundi la watu wazima watatu, Wavulana ni 12 na Wasichana ni 17.
0 Comments:
Post a Comment