Tuesday, May 9, 2017

ZANZIBAR YAFUNGA SKULI, MAFURIKO NDIO SABABU

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kupitia Wizara ya Elimu imeagiza kufungwa skuli zote za serikali na binafsi isipokuwa kwa Form 6 ambao wana mtihani kuanzia leo 10 May mpaka Jumatatu 15 May kutokana na mvua kubwa zilizokithiri huko Zanzibar.


Unguja mpaka sasa nyumba zaidi ya 360 zimeathirika na Pemba nyumba zaidi ya 600 zimeathirika

0 Comments:

Post a Comment