ARSENAL YAZIMA REKODI YA MANCHESTER UNITED KUTOFUNGWA MECHI 25 MFULULIZO
Rekodi ya Machester united kutopoteza mechi 25 imekatizwa leo baada ya kucharazwa bao mbili kwa bila katika dimba la Emirate.
Danny Welbeck amesaidia kukatiza rekodi hiyo baada ya kupigilia msumari kwa kupachika bao la pili
Arsenal imefuta uteja baada ya kukaa miaka 13 bila ya kuifunga manchester united katika ligi kuu la England.
0 Comments:
Post a Comment